Jana Bwana!Kila mara utasikia mtu anasema kuhusiana na jana yake;Yaani jana yake yeye aliweza fanya nini au alishindwa fanya nini hapa chini ya jua.
Kila mara watu wengi hupenda sana jana yao na wengi pia uchukia jana yao.Inafikia hata wakati wengi huondoa uhai wao kwa sababu ya jana.Huwa najaribu sana kufikiria kuhusu jana yangu......naogopa sana kuwa JIZI(Mwendawazimu)...naona jana yangu ilikuwa nzuri sana lakini nani?nani?aliweza haribu jana yangu? Bila shaka si mimi hata hivyo nashindwa sema nani kwa jana yangu ila kama sio mwanasiasa basi ni wewe kiongozi wa dini au jamii....Unakataa ni wewe !Ndio wewe eh ehe unakataa nini?Wewe ndio unashindwa kukemea jambo mbaya ninapotokee mbele yako,Wewe unashindwa fanya jambo zuri kila siku...ndio unayanfa baadhi ya watu wanaokupenda walie kwa mambo yako.....
jana?jana yako umewafanya au hata imeweza haribu kabisa matumaini yangu...hata yako ya kuwa fulani....Jana yako inakufanya hata shuhuli unayofanya usiipende sana...
Naipenda sana jana yangu..ndio kama wewe unavyoipenda jana yako....jana yako imekufanya Jamii ikupende Ongera sana jana yako ndio inayokupa chakula ccvha kila siku na jamii yako.....
Jana yako inakufuata popote pale uendapo hata kama utajificha jamii yako inapokutafuta jana yako .Mpaka ndani ya .....Kaburi yako kwa heshima kubwa huku ukiacha Jamii yako inayokupenda na kukuenzi ukuharibu kwakukatili mkubwa jana yao.
Jana ?....
UKWELI TIBA.
Tuesday, January 17, 2006
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
buh mwalimu, karibu sana. umenigusa sana ulipoizungumzia jana na umuhimu wake. lakini ninakumbuka nilipokuwa kidato cha kwanza sekondari mwalimu wa historia aliniambia kuwa historia huzungumzia yaliyopita na si kama hadishi tu bali yatusaidie kutengeneza tuendako. hivyo basi tuna wajibu wa kutumia mazuri na mapungufu ya jana kama somo la kutengeneza kesho bora zaidi. kama sio kwetu basi ni kwa watoto wetu!
karibu sana kiwanjani! unatuwakilisha magharibi kabisa mwa taifa!
Post a Comment