UKWELI TIBA.
Tuesday, July 11, 2006
Maisha?
MAISHA?
Maisha ni nini?na je?thamani yake ni sawa kwa watu wote? hapana?......kweli?...Mimi kwa upande wangu ni ngumu sana kuamua.Wengine wana sema maisha ni kula na kunywa....?Wengine na wanawake....wengine wanajibu maisha ni mbinguni.hawa ni wale Waumini yaani waamini uwepo wa MUNGU WAO!
Maisha ni magumu sana.....maisha POA....na wengine watasema Maisha kwa sasa ni magumu sana.....kwa vigezo mbalimbali kila mtu nafasili yake kuhusu maisha .....lakini ni kweli iko hivyo?
Kaka yangu alfred... nukuu yake ....MAISHA SI MAGUMU KAMA TUNAVYOYAONA NA KUFIKIRIA....NI MAGUMU ZAIDI!!
Zaidi! Kuna watu wanakula maisha yao! Ndio yao! Wao wana kila kitu ...magari mazuri,vyakula vizuri,wanawake wazuri,wanalala pazuri na hata kufa wanakufa vizuri....nukuu ya MUKAMA MAKONGO.
Lakini hata kufikiri wanafikiri vizuri....bado ninatatizwa na MAISHA?
Nitaweza kuonekana kwa kitambo kwenye blogu sababu hasa ni maisha...kwa tafasili isiyo rasmi....!
MAISHA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment