UKWELI TIBA.

Sunday, July 08, 2007

Bajeti yangu nitaitangaza kila nipatapo Fedha.

Habari za bajeti Wananchi wenzangu?

Ujue nimeacha kutmia neno Watanzania kutokan arafiki yangu mmoja kusema watanzania ni wale wote
wananeemeka na maliasili za nchii Tanzania.wananchi ni wale wote wanaishi kwenye nchi Tanzania pasipo kuneemeka nayo.(UCHOYO NA UNALAFIKI).

Watanzania wamesha tangaza bajeti ;wananchi mnasemaje?Kimya au kelele zetu ndio utakuwa usalama wetu?Kama wanakoishi wao mafuta yamepanda kwa zaidi ya shilingi 2000 je?Kigoma na Nkasi itakuwa shilingi ngapi?Kimya au kelele zitatusaidia?
Mshahara umeshapanda kwa kiwango chema kabisa?!Kimya au kelele zetu zitatusaidia?
Walimu kama watumishi wengine wa sirikali watapandishwa madaraja ya kazi ambayo sina hakika kama yataendana na kupandishwa kwa viwango vyo vya mshahara au Kimya au kelele zao zitasaidia?

Kuna neno katiba na kanuni za jumba la Dodoma ambazo zina ruhusu kutotoka nje ya maneno yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyewe.
Ujue si haki na usawa kukosoa kila kitu hasa wanapoangea Watanzania au wananchi wa nje yetu tanzia?

3 comments:

Anonymous said...

we mkigoma gani wewe mbunge wa kwenu anafanya mambo hadi wanamfukuza hata hutupi taarifa au na wewe umefukuzwa kuandika humu kwenye blog???

Au kwa kuwa kigoma iko nyuma kwa kila kitu hata hujui kama mbunge wenu kafukuzwaaaaaaaa

Alex Smith said...

Hi, Added a new value add to my blog this weekend - a news widget from http://www.widgetmate.com/news/ . I always wanted to show latest news for my keywords

barb michelen said...

Hello I just entered before I have to leave to the airport, it's been very nice to meet you, if you want here is the site I told you about where I type some stuff and make good money (I work from home): here it is